Ikiwa una swali wasiliana nasi katika goinghomedotcom@yahoo.com Sisi katika goinghomedotcom tungependa kusikia maoni, mapendekezo au mawazo yako.
goinghomedotcom Trust: YALIYOMO


Utetezi na mawasiliano (ADCOM), 2006
Hafla mbalimbali ambazo goinghomedotcom imepanga au/na kushiriki katika kuwahamisha wakenya kuhusu magonjwa yanaotokana na uraibu wa pombe na matumizi ya pombe.
goinghomedotcom ni nini?
Malengo yetu, azimio letu na ndoto yetu.
MIMI NI MRAIBU. NIFANYE NINI?
Maswali na makala ya kukusaidia kutathmini matumizi yako ya pombe ili hali yako na hatua muafaka za kuchukua
Makala kuhusu uraibu wa pombe
Makala za kupendekeza kuhusu pombe na utemeaji wa pombe. Kujifunza zaidi kuhusu ugonjwa ndiyo njia ya pekee ya kujisaidia au kuwasaidia wapendwa wako
MAKALA ZA UTETEZI NA MWASILIANO (ADCOM)
Makala za adcom zilizotolewa katika warsha na hafla mbalimbali ambazo goinghomedotcom imehudhuria.
KWA JAMAA, WENZI, WACHUMBA N.K WA MRAIBU WA POMBE.
Makala kuhusu uraibu wa pombe (na madai mengine) za upendezi maalum.
POMBE, NGONO NA MAGONJWA YA ZINAA; UKIMWI
Jinsi pombe, ngono na madawa ya kulevya yanavyohusiana na magonjwa haya na hayo ni nini.
KWA ASIYE MRAIBU WA POMBE
Makala kwa wanaokunywa faraghani.
MAKALA KUHUSU MADAWA (YA KULEVYA)
Makala za kusisimua kuhusu madawa (ya kulevya)

ULIMWENGU WA TUMBAKU
Kwa nini uhangaishwe na tumbaku na hasa uvutaji wa sigara. Unahitaji kujua nini kabla hujaamua kuwa uvutaji wa sigara unakufaa wewe!
Madawa Ya Kawaida Yatumiwayo Vibaya
Aina ya madawa yanayotumiwa na athari zake
MAKALA ZA STAREHE
Mtazamo tofauti wa pombe na madawa ya kulevya unaoonyesha baadhi ya mambo ya kusikitisha yanayoweza kutupata kutokana nautumiaji wa pombe na madawa ya kuleyva.
ILANI
Faham matukio muhimu yanoyofanywa katika ujirani wako. Jishughulishe na ujiepushe na mwadwa ya kulevya.
MARAFIKI ZA goinghomedotcom
Tunahitaji msaada wako ili kuendelea na mipango mbalimbali. Fahamu jinsi unavyoweza kusaidia
UNAPOWEZA KUPATA MSAADA
Orodha ya vituo vya urekebishaji kukusaidia kulishinda tatizo lako
Makala: David Ogot snr.
Makala mbalimbali zilizoandikwa na David Ogot katika magazeti mbalimbali ili kuwahamasisha watu kuhusu hatari za matumizi ya kulevya
PICHA
Picha kutoka kwa kampeni mbalimbali dhidhi ya matumizi ya madawa ya kulevya katika sehemu mablimbali humu ambazo goinghomedotcom ilishiriki
goinghomedotcom UCHAPISHAJI
Hii ni idara ya goinghomedotcom ambayo itachapisha miswada na makala zingine kuhusiana na masuala mbalimbali muhimu.
Kitengo cha utayarishaji wa kanda za video na habari cha goinghomedotcom
Hii ni idara ya goinghomedotcom inayowaelemisha vijana kuhusu utayarishi wa kanda za video za kuwahamasisha watu kuhusu matumizi mabaya ya madawa ya kulevya na vileo.
UFAFANUZI WA MANENO
Orodha ya maneno yanayotumiwa kwa ukawaida ya kitiba na mengineyo
goinghomedotcom. Ripoti na makala
Makala ya kila mwaka na ripoti kuhusu goinghomedotcom na pia taarifa zilizotolewa katika hafla mbalimbali.

TAFRIJA: MATUMIZI YA WAKATI WAKO ZIADA.
Tafrija mbalimbali za kukusaidia kutumia vema wakati wako wa ziada
HAFLA ZISIZO NA VILEO
Bado waweza kujitumbuiza. Hafla za kipekee zisizo na vileo na vinyawji mbalimbali. Zote hazina pombe
Maktaba ya goinghomedotcom
Maktaba yenye sauti na picha ambapo unaweza kupata habari zaidi kuhusu pombe na madawa mengine ya kulevya.
MAHITAJI YETU
Kuna sehemu mbalimbali ambapo tuna upungufu mkubwa. Wawezaje kutusaidia kutimiza malengo yetu kwa njia bora zaidi.
goinghomedotcom. RATIBA
Video, vitabu, t-shirt, kofia, mabango, n.k orodha ya zawadi mbalimbali na vifaa mbalimbali vya kukusaidia kujinasua kutoka kwa uraibu.
ULIZA UJIBWE
Uliza chochote kilicho moyoni mwako. Kila kitu ambacho umekuwa kujua kuhusu vileo na maswala mengine yanayohusika nayo na ambayo hujuwahi kupata mtu wa kukujibu.
'KUYAGUSA MAISHA YA KWA KUYACHOCHEA'
Tiwa moyo na taarifa kuhusu ujasiri waliodhirisha wengine katika kukabiliana na maisha yao.
MAKTABA ZA goinghomedotcom
Maktaba zilizoanzishwa na kudumishwa na goinghomedotcom kukuza desturi ya usomaji kati ya wanachi vijana.

Je! Ninafanya maamuzi yanayofaa?
Afya yako hubadilika kila siku kulingana na mazoea unayojihusisa nayo. Kama ni ya kufaa au ya kukuangamiza.
Uhusiano na wengine
Mimi ni nani? Marafiki zangu wa kweli ni nani? Ninawezaje kukabiliana na msongo wa marika (marafiki)? Vidokezo. I resist pressures? Some tips
Je una afya njema?
Afya yako hubadilika kila siku kulingana na mazoea unayojihusisha nayo. Kama ni ya kufaa au ya kukuangamiza.

goinghomedotcom
Programu ya mtandao wa ulimwenguni pote

Programu hii iliundwa ili kutengeza na kudumisha mitandao iliyodhaminiwa kwa kiasi fulani au kikamilifu inayomilikiwa na watu binafsi, mashirika, mashirika yasiyo ya serikali ambayo yanahusika katika vita dhidi ya utumizi mbaya wa vileo na uraibu wa pombe na pia mitandao inayojaribu kukuza desturi ya usomaji nchini.
goinghomedotcom
vyama vya wanahabari

goinghomedotcom itasaidia kuanzisha au kusaidia vyama vya uanahabari katika shule mbalimbali mradi vyama hivyo vinajihusisha katika uhamasishaji kuhusu matumizi mabaya ya vileo na madawa mengine ya kulevya. goinghomedotcom itatunza kurasa za vyama hizi kuhusu hafla zao na mbalimbali katika mtandao huu bila malipo yoyote.

'Dala' ni jaridi la goinghomedotcom
Makala kuhusu uraibu wa pombe na jinsi ya kupunguza matumizi yake na kampeni mbalimbali humu nchini. Taarifa za kina kuhusu matumizi ya madawa ya kulevya nchini Kenya ambayo huwezi kupata katika vyombo vya habari. Maelezo ya kina kirefu ambayo hayapatikani popote pengine.
Mjadala
Jiandikishe na kujadili kuhusu matatizo ambayo unayakabili wewe au mtu mwingine umjuaye. Ona yale wengine wamesema. Shiriki maoni na mapendekezo yako ili kuwasaidia wengine. Shiriki uchungu na furaha yako ili uendelee "kugusa maisha ya wengine kwa kuwachochea."
Maktaba ya yaliyopita



Mtandao huu umetengenezwa na David Ogot snr. na unadumishwa na
Science & Engineering Research Center
©goinghomedotcom 2001 - 2007
Ilani   Umiliki wa makala katika mtandao huu